Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,902
Mmh mhhmNduki tena jamani
Mmh mhhmNduki tena jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ni kisa alikitungia nyimbo kilitokea tabata mpemba alivunja ndoa bada ya kuacha hela ndogo anakuta mazaga zaga mengi
Atariiiiiiiii 2m ??,Did you know
Je wajua
Makapuku ndio uzi wa kwanza kutazamwa na watazamaji zaidi ya 2m
![]()
NimekumisNduki tena jamani
Karibu kapukuMkuu ni ambao umetazamwa mara nyingi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwako Mpenzi BlessedHope,
Salaam, ama baada ya salamu napenda kukujulia hali yako ewe kipenzi cha moyo wangu uliye mbali na upeo wa kiibodi siku za hivi karibuni. Ama kwa hakika ukimya wako umekuwa pigo kubwa sana kwangu. Nakuomba mara upatapo ujumbe huu unifahamishe kama nina nafasi katika moyo wako.
Wako katika mapenzi ya Kiibodi,
Rogie
Cheko lote hilo la nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji40]Nimekumis
umefurahi naonaHahahahah
hahahh mapenzi ya kiibodiKwako Mpenzi BlessedHope,
Salaam, ama baada ya salamu napenda kukujulia hali yako ewe kipenzi cha moyo wangu uliye mbali na upeo wa kiibodi siku za hivi karibuni. Ama kwa hakika ukimya wako umekuwa pigo kubwa sana kwangu. Nakuomba mara upatapo ujumbe huu unifahamishe kama nina nafasi katika moyo wako.
Wako katika mapenzi ya Kiibodi,
Rogie
Kiasiumefurahi naona
Mi nipo sana hasa Jamii Intelligence sema huwa napita majukwaa mengi kimyakimya na sibaga mbwembwe za "mkuu unitag na mimi"Aisee hilo sikulijua maana siku hizi sitembei sana
Sema lolote na roho yake ipone[emoji40]
shunii hawezi akatuliza mkuu??Sema lolote na roho yake ipone