Aisee kumbe huwa wanakuja kudukua hukuNikiamka ndo kitu cha kwanza
Sema nakutana na mastori mengi hivyo nasomaga kimyakimya maana maana nakuta hakuna sehemu ya "kupumulia"
Km hujui magazeti mengi tanayoanzishiwa habari km source na wanaJF yanachukuliwa kwako kimyakimya
........
Unakumbuka jana maneno yangu kwamba Rashford still my HERO of the week, jana usiku tena he proved that my statement was right...... Viva kikosi changu
Tupatie hongera yenye ujazo stahiki
heshima ninayo huruma ninayo kwa lee tumarhabaa mtoto mzuri, una heshima ila huruma huna
Kwendaa zenyuuuuTupatie hongera yenye ujazo stahiki
me mzima sna mume hali ya hewa tu ghafla imebadilikaOoooooh swty niko poa nimeamka swalama ofu juu yako tu ..
mzee wa kisa cha mpemba binamu obe naomba habari ya huyu mtu
Jamaa linapiga gitaa km chizi
.....
Asante Mussolin kwa historia na Bitoz kwa picha mbarikiweLEO KATIKA HISTORIA:
Niwatakie siku njema.
Wivu huoKwendaa zenyuuuu
Hampatiiichetu
Ooooooh take careme mzima sna mume hali ya hewa tu ghafla imebadilika
Yaan hapa umenitoa tongotongo za macho acha niwe kweli kwa faida ya nafsi yangu
Huyu na Ceorge Washington nani mwenye heshima zaidi?
.......
Ni "km" na sikuandika "sawa"Bado hajafikia level ile
Mara nyingi akitokea benchi yupo vizuriacha kumfananisha Solskjaer na vitu vya ajabu ajabu 😱oops:
just kiushabiki
shukrani shunieAsante Mussolin kwa historia na Bitoz kwa picha mbarikiwe
thanks, you too hunOoooooh take care
Aliwahi kutokea benchi akaenda kupiga goli 4 peke yakeNi "km" na sikuandika "sawa"
Hivyo hivyo hawalingani
Mara nyingi akitokea benchi yupo vizuri
Ni mtazamo wangu
.......
Vitu vingi hata "Mambo usiyoyajua kuhusu NK" Baada ya kuonekana ina mvuto mtu baadaye akaanzishia uzi na kuongezea mambo machacheAisee kumbe huwa wanakuja kudukua huku