Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
ndio faida ya kuwepo katika makapuku forumYaan hapa umenitoa tongotongo za macho acha niwe kweli kwa faida ya nafsi yangu
ndio faida ya kuwepo katika makapuku forumYaan hapa umenitoa tongotongo za macho acha niwe kweli kwa faida ya nafsi yangu
Ni kweli kabisa naona faida yakendio faida ya kuwepo katika makapuku forum
Aliwahi kutokea benchi akaenda kupiga goli 4 peke yake
![]()
Bila kusaha goli lake dk za majeruhi dhidi ya Bayern Munchen ya akina Samuel Kuffour fainali ya UCL 1999 lililochangia Man Utd kuandika historian ya kubeba ndoo 3 kwa msimu na hivyo babu Fergie kupewa heshima ya Sir![]()
......
Mpemba alifanyaje?mzee wa kisa cha mpemba binamu obe naomba habari ya huyu mtu
Punguza misele huku jukwani unahitajika Sana hasa vionjo vyakoNaam
Uko banned ama ni avatar hiyo?Habarini za asubuhi Makapuku
Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nilishindwa kuwaleteeni matokeo ya mechi zilizochezwa jana za Europa league.
Leo tutaziangalia mechi za ligi zikiendelea kurindima
Naona unaifanyia haki kazi ya faiza foxyNimemumisi => Nimemmisi
BTW nimekuja Mr mboga mboga
Hapo namuona mnyama Dwight Yorke na Ronny JohnssenNyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita.
eti siku hizi tunategemea akina LingardHapo namuona mnyama Dwight Yorke na Ronny Johnssen
.....
mungu hapendiheshima ninayohuruma ninayo kwa lee tu
kwema mkuu, karibuHabari za leo Makapuku..
Sawa kakaNi "km" na sikuandika "sawa"
Hivyo hivyo hawalingani
Mara nyingi akitokea benchi yupo vizuri
Ni mtazamo wangu
.......
Kweli hapo mwafaeti siku hizi tunategemea akina Lingard
Madam nakusalimiaUko banned ama ni avatar hiyo?
Aisee hilo sikulijua maana siku hizi sitembei sanaVitu vingi hata "Mambo usiyoyajua kuhusu NK" Baada ya kuonekana ina mvuto mtu baadaye akaanzishia uzi na kuongezea mambo machache
Hata Leo ktk historia kuna mtu alidukua akaanzisha thread kabisa lakini mwisho maji yakazidi unga thread ikafa maana alikuwa anajiumauma
......
Mpaka leo anaichukia MUFCKuffor kashika kiuno haamini macho yake. tazama hayo macho
![]()