Makapuku Forum

Ebu kuwa wazi mkuu yawezekana wengine hawajui/hatujui kama wanakosea/tunakosea
Nilimaainisha mambo serious mtu anaquote tu hana cha kuongea ila analazimisha tu aonekane
Nafikiri kuna mtu ulimuona "umekula maharage ya wapi" n.k
Samtaimu mtu bora akae tu kimya
.......
 
Tatizo
jina la forum statement yako umejibu vizuri sana, mambo mchanganyiko tozi nyangema wetu chukua tano
 
Ndo ivo

Alifululiza kuniquote kipuuzipuuzi
Yale yalikuwa matusi ila nikapotezea

Utani ni kawaida yetu
.......
Kweli mkuu

Ila kingine tukumbuke tunapenda replay za kufa kiumbe mfano juzi 2k per day ...

Tusamehane hasa mm na mr T na wenzetu ila hakuna namna balozi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…