Makapuku Forum

Umeongea vizuri
Ukisoma kwa makini utaelewa nilichosema kwamba "kitu kikizidi ni sumu" sijasema stori zisiwepo

Unaweza kuendelea kufafanua
....
 
Heshima kubwa anayo Benjamin Franklin kwa kushiriki kwake kikamilifu katika Uhuru pia kufanikisha upatikanaji wa katiba ya Marekani.

Umri mkubwa pamoja na kuumwa kulimfanya ashindwe kuwa Rais, hivyo nafasi ikaenda kwa George Washington.

Siku zote nilifikiri Washington ndio baba wa Taifa la Marekani maana hutajwatajwa sana
.....
 
Asante kiongozi kwa ukumbusho ...twende kwenye mada

Tatizo kuu linakuja watu tanakuwa waongeaji bila matendo humu kila mtu akitaka kuwa na kipengele chake inawezekana kabisa muhimu ni kujitoa ili kuliendeleza jukwaa letu ...

Unaposema mtu anaquote kimzaha nahisi sio kweli japo yawezekana kuna ukweli ndani yake ila kama ni ishu ikipostiwa huwa naona watu wanachangia japo kwa ufupi

Mda mwingine ni lazima kufanya kinachoonekana kuwakera wengi hasa mapenzi lengo kusogeza Uzi na utani ukiwemo ila simply watu tunaondoa stress zetu hapa

shukrani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…