Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,666
- 50,981
Baby wako kafanya kazi nzito sana kuniletea valentina , mbusu kwanza kama pongezihahahhah kama sio ww uliokua unalia lia na kumsumbua baby wangu
Baby wako kafanya kazi nzito sana kuniletea valentina , mbusu kwanza kama pongezihahahhah kama sio ww uliokua unalia lia na kumsumbua baby wangu
Acha akutane na mjanja mwenzake ray,umemwacha akwende tu
baba paroko hayo mabusu ya kulazimisha sitaki mmBaby wako kafanya kazi nzito sana kuniletea valentina , mbusu kwanza kama pongezi
mwenyewe nimeshakugongea like mkuu! aina kwereUnataka ugongwe likes ngapi? , sisi sio wachoyo wa likes kama jukwaa la siasa eti mtu mpaka uongee point ndiyo unagongwa like, huku ukisema hata SiTAKI tu basi likes zakuminina
Pongezi tu, hebu mpe, unajua kafanya kazi iliyokua inahatarisha ndoa yenubaba paroko hayo mabusu ya kulazimisha sitaki mm
nambusu tu mwenyewe
Hahaha karibu sana chief, nitakupa likes za kutosha ni wewe tu mkono wako wa kuandikamwenyewe nimeshakugongea like mkuu! aina kwere
Namtaka jamaniiiiiMwanangu umeulaaa kama pesa ipo basi valentina atakupa kila kitu
hahahhAcha akutane na mjanja mwenzake ray,
hiyo kazi sitaki tena aifanye kila siku huwa namwambiaPongezi tu, hebu mpe, unajua kafanya kazi iliyokua inahatarisha ndoa yenu
Hujachelewe sana mkuu, ngoja aje mimi nitalifanikisha hiloNamtaka jamaniiiii
Mwambie kwacha zipo za kutosha begi 2 zenye thamani ya 5k
Baby tenaNini tena baby
We umesema huna hela banaNjoo tulale mpenzi, kabla ya kulala tusali.
ApiaKweli kabisaaa
Nini tena baby wa ShunieAhaaaaah
Mkuu unampa zawadi shunie kama nani weweNakukubali sana, ngoja nikupe zawadi![]()

Aminia huku hakuna mabashiteUnataka ugongwe likes ngapi? , sisi sio wachoyo wa likes kama jukwaa la siasa eti mtu mpaka uongee point ndiyo unagongwa like, huku ukisema hata SiTAKI tu basi likes zakuminina
Naifanya boss na nitakupa lipoti kamiliInspector kazi unaifanya kwelii??
MamboWhat
Kesi ipi aise...itajeOoh wajifanya hujui sio
Poa mwaya. NiajeMambo