Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Unaelekeza vizuri lakini hua inajenga picha mbaya kwa muelekezwaji labda ni mm tu ndio naona..Mbona nimeelewesha vizuri tu
Labda tunatofautiana tu uelewa
Haina kwere
........
Hebu fuatilia Faizafox anavyo elekeza watu kwa kuwakebehi..