Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Chief kwema ??Usiku mwema
Chief kwema ??Usiku mwema
Tatizo anazitaka zote, usicheze na valentinababa paroko sadaka pia si unaweza kula nae mbona muoga hivyo
hahahah na ww umeshtukaTatizo anazitaka zote, usicheze na valentina
KaribuHuku makapuku like mnagawa tu kweli inabidi kuwe ushuani
Wengi wanalala himo kweny saloon ila kutana nae njee utasema lee pappaa katokea wapacha tu niyasikie kwa watu halaf nasikia wapo radhi walale chini nje wakitoka wawe smart na kunukia
Makini vibaya mnohahahah na ww umeshtuka
Nimekaribia mkuu tena bila hodi kama kuzamia pilau la hitmaKaribu
hahaha ila naskia wana sifa yao kuu inayowabebaWengi wanalala himo kweny saloon ila kutana nae njee utasema lee pappaa katokea wap
lee empire,unajua kukaribisha wageni!Karibu
hahahhah kama sio ww uliokua unalia lia na kumsumbua baby wanguMwanangu umeulaaa kama pesa ipo basi valentina atakupa kila kitu
Unataka ugongwe likes ngapi? , sisi sio wachoyo wa likes kama jukwaa la siasa eti mtu mpaka uongee point ndiyo unagongwa like, huku ukisema hata SiTAKI tu basi likes zakumininaHuku makapuku like mnagawa tu kweli inabidi kuwe ushuani
hivi manzese unapajua ww si wa mkoaniNdo maana wengi wana saloon manzese
hivi nilinunaKanuna nini sasa
Dada jamaanUsingizi umepaa
Ila siko humu kf napita mitaa mingine..
Mdogo wangu kanuna ujue
Kwema mkuu, vp haliChief kwema ??