Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Mbona sasa mnanichanganya!!!Kama unamhurumia basi tulia nae usimuumize
Mbona sasa mnanichanganya!!!Kama unamhurumia basi tulia nae usimuumize
Si youngblood amesema wanasiku tatu hawana mawasiliano au mie nilisikia vibaya?Namhurumia sana Nahrene
Shemeji bro hajambo?![]()
![]()
![]()
itakuwa kipo kidogo
Yuko poa kabisa!Shemeji bro hajambo?
Huyu jamaa aisee amezidi sasa.![]()
![]()
Le kubwa jingazzzzzz
Le penda sifazzzzz
Le maigizozzzzz
Le matangazozzzz
U know
Le Mutuz
Tuko pouwa chalii, niaje kwako!?Habari za hapa ndg wadau ..
Hivyo anavyo nadi analipwa au![]()
![]()
Le kubwa jingazzzzzz
Le penda sifazzzzz
Le maigizozzzzz
Le matangazozzzz
U know
Le Mutuz
Vipo yuko home au ametoka,nataka nikuombe kitu..Yuko poa kabisa!
Youngblood ameona kifaa kipya ndo maneno hayamuishiSi youngblood amesema wanasiku tatu hawana mawasiliano au mie nilisikia vibaya?
Yupo job now! Kitu gan?Vipo yuko home au ametoka,nataka nikuombe kitu..
Anataka aitwe nani vile?Jamaa amesema hataki hili jina.
Yupo job now! Kitu gan?
Sijui mwenyewe lakini amesema hataki kuitwa ommy kwakuwa akija Jimena watamkimbia.
Ataumia sana mkuu,namuonea huruma.
Kwani nani alianza kumwacha mwenzake?Anataka kote kote huyu ndugu yako
Holy Ghost fire!Naomba uniruhusu nije nizime taa shemeji.