Matokeo ya mechi zilizochezwa tarehe 19/4/2017
Kenya premier League
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Timu za Germany zote zimetolewa kwa jumla ya mabao 6-3, Monaco walifanikiwa kutibua mipango ya Dortmund na kuwafanya kila wakifika wanakosa mbinu mwisho mpira unakwisha Monaco 3-1 Dortmund.
Huko nako Camp Nou mambo yalikuwa magumu mno kwa Barcelona kukutana na kisiki cha mabeki wa Juventus, mwisho mpira unakwisha Barcelona 0-0 Juventus