Makapuku Forum

Hahahaaaa!

Nilijua tuu lazima umkwide
Ni kwann watu wanahis Ar wanawake ni wakorofi lkn , lkn pia kwa hyo picha Ar pana baridi kma kipindi hiki kwa hyo usivae sweta ama koti kisa waenda kutana na mtu kesho ukiumwa kifua kisa fasheni itakuwaje? Mtuache bwana masela wetu wanatukubali mbona labda nyie wa mikoani
 
Asante mkuu Archduke uwe na usiku mwema ,Mimi na Baba Mchungaji tunakuombea Amani Furaha,Hekima na upendo Mungu akupe mahitaji yako yote sawa sawa na mapenzi yake.Ubarikiwe makaikq walinzi waweke kituo wakuzunguke usiku wote na siku zote za maisha yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…