Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Shaka ondoa wakorea wanasema trust himHuyu baba paroko ninawasiwasi nae aise
Shaka ondoa wakorea wanasema trust himHuyu baba paroko ninawasiwasi nae aise
We are in jokes banah, it wasnt anything, mimi kazi yangu kupambana na mapepo ya aina mbalimbali spiritual and physicallyni ww ndio umeandika baba paroko
BabeOooh!
Mambo yako mtaa wa 1 wewe wa mtaa wa 7 yamekufikia vipi?
ChapaneniNtakuchapaaaa
Aaah hata mm ni muhanga wa kuzurumiwa na wewe...Oooh!
Mambo yako mtaa wa 1 wewe wa mtaa wa 7 yamekufikia vipi?
Next time usipende ku-skip unaweza kuta valentina kwa mfano alikujibu amekubali ombi lako wewe umeruka pages zote, dont my brother utakosa mke hivi hiviNimeskip jamani nyie wazima lakini
Niende wapiiiiiiTokaa
Mbona lee amesema unajuaSijuii
Unatibu nn nikutafute!?Mganga mwenyewe ndio mie
hahahhh namuona muulize anajua jina la chakoriii la mwanzoShunie unamuona huyu lakini hajui mm nilikomtoa huyu bibie..
Mkubhi jina la chakorii la mwanzo anaitwa nani?hahahhh namuona muulize anajua jina la chakoriii la mwanzo
Tutafutane ssMimi jirani yako sema hujajua tu
Upako unatawala chief... Tupo katika utani banah, vipi hile barua umefikisha kwa valentinaBaba paroko upako utawalee
Sasa wewe nipe mkwanja mlefu nikuachieShunie unamuona huyu lakini hajui mm nilikomtoa huyu bibie..

KalaleNiende wapiiiiii
Hata hivyo ilijipostHaikuhusu shem
![]()
![]()
![]()
Tatizo hufikishi barua zangu, halafu nimezikuta zimezagaa kila mtu anasoma, sasa mahaba mengi kwa valentina waumini wamemaindiKuwa siliasiiii bhanaaa
Au wewe ni paroko wa dar ...??