Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimekuwa na mapenzi nayo ya dhati kabisa toka uvunguni mwa moyo wangu,na mapenzi haya yalianza zamani sana wakati mama akiwa msichana alipokutana na baba kipindi hicho akiwa mvulana akitoka kuwaangalia...nimepanda nayo nimeshuka nayo na kila ikifanya mazuri au mabaya bado niliendelea kuipa sapoti, ila kwa walichofanywa jana imeniuma sana na kwa moyo wa dhati kabisa bila ushawishi wa mtu,tena nikiwa na akili zangu timamu nachukua maamuzi magumu ya kuendelea kuipenda Yanga na kuendelea kuwa shabiki wake kindaki ndaki!
Safari ikiwa ndefu njiani ni kawaida kukutana na misuko suko
 
Kwa hili wanaloendelea kutufanyia waarabu nitaleta hoja binafsi hapa ya kuondoa ubalozi wetu huko Misri,kuwarudisha Simba Misri kwa kuwa nimenarrate mashabiki wengi wa simba hapa wamefurahia sisi kutolewa bila kujali kwamba waarabu wa Misri sio shemeji zao!
0695423ede0fc019c17991d0a30307ff.jpg

34e4a9ae2810bbd9a96cb2809bc5d6a5.jpg

Hawa maboya
.................
 
Kwa hili wanaloendelea kutufanyia waarabu nitaleta hoja binafsi hapa ya kuondoa ubalozi wetu huko Misri,kuwarudisha Simba Misri kwa kuwa nimenarrate mashabiki wengi wa simba hapa wamefurahia sisi kutolewa bila kujali kwamba waarabu wa Misri sio shemeji zao!
Mkuu pole sana,unajua hawa waarabu dawa yao ni huyu mnyama,mimi nilishangaa mlijitia kimbelembele ndiyo mana mmenyolewa kwa chupa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom