Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Naomba Nahrene asijue tafadhali.Mi nakutakia kila la heri
Naomba Nahrene asijue tafadhali.Mi nakutakia kila la heri
Mama mchungaji njoo uone shemeji zako wanavyohujumu ndoa yako hukuJamani, Mkuu Jimena msaidie baba mchungaji ombi lake lipite.
Si niliona jana wakati anammendea yule wa jana.Best una maono sanaa![]()
![]()
![]()
Imekuwa mtafutanoWakongwe wameanza kupoteana.
Kweliee?
Unajua hawa jamaaa walitusumbua sana, kwakweli bila kuungana tusingewaweza kabisa.Imekuwa mtafutano
Hapana mkuu hapatikani kabisa.Kwahiyo mpaka sasa hauna mawasiliano kabisa na shem Nahrene?
Asante sana.
Yule wa jana naona atafaa kuziba pengo la Nahrene.
Bado unanichanganya Mkuu.Hapana mkuu hapatikani kabisa.
Nimeona isiwe tabu.
Poa Ommy, mzima lakini?wapendwa mko poa
Na nini tena mkuu.Bado unanichanganya Mkuu.
lete habari, mambo yanaendajePoa Ommy, mzima lakini?
Jamaa amesema hataki hili jina.Poa Ommy, mzima lakini?