Tatizo la huku mabinti hawazidi wanne na wote wana minjemba tena mikakamavu na yenye wivu ugusao mawingu. Waoaji tupo lakini waolewaji hakuna lakini hapo hapo mabinti wanalia eti waoaji hakuna. Hii naiita Makapuku Paradox...

Upo sahii sana valentina, weka jambo hili mbele madhabahu ya bwana, hakika utapata jibu, ila kama jibi ni negative kausha kwanza maana moyo wangu huwa ni fragile sana dada zangu sakayo na shunie wanajua