Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
mm apa baba parokoShunie huyu
mm apa baba parokoShunie huyu
mkuu miliki tuMali ya nani hii kabla sijafanya yangu nataka kujua mmiliki
Hapana muuupeeeendwaaaaWe naona unataka umwingize paroko kwenye tanuru la moto
mama paroko ujue tunakuhitaji usimfanyie hivi paroko wetu au unamuogopa ngabuNgoja nipige goti nimuulize bwana kwanza
Mkuu naona huyu jamaa ana mzuka ulio pitiliza amesahau hata kusalimiaMkuu salamu kwanzaaaaaa![]()
![]()
![]()
Hahaaaa tom siku zote huwa ni loser nimecheka hilo pozi hapo kashapoteza
Thatha => Sasanimuachie nani thatha??
ahhahahhahh ndio nilimwambia mambo ya magimbi
me nakupendaaaa mpk sijielewiNakupendaaa
Mungu azidi kuniwekea lee wangu
Mwambieeemama paroko ujue tunakuhitaji usimfanyie hivi paroko wetu au unamuogopa ngabu
tatizo ulimi mkuu nna kithethe thiwezi kuongea vizuriThatha => Sasa
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Mfalme wa Swaziland hivyo atachagua kigoli mmoja wapo awe mkeweJamani mbona hivyo mh! Siye wengine walokole
Kamati za operesheni gani wakuuAundiwe baba paroko au BATULUNGE
ngoja shedede ajeHalafu hataki tena kuja huku
Soudy hebu badili gia angani basi FaizaFoxy aje huku
Mkuu Nawe ulitekwa nini?
Cc NyageiAksante mama hivi sasa naweza kufika mtaa wa pili kwa lafiki yangu!!
Hahaaaa tom siku zote huwa ni loser nimecheka hilo pozi hapo kashapoteza