Makapuku Forum

Makapuku Forum

Emmyguy asante yaani huyu jimena nna mpenda balaa, asiponikubali cjui kama ntapata mwingine kama yeye. Halafu ana mkono wa baraka na kibali kwa watu so kanisa litajaa na jamii itafaidi huduma yetu jani
Kwahiyo unataka unitumie ili upate watu kanisani kwako??
Yani mi niwe chuma ulete wa kanisa[emoji15] [emoji15]
 
8b238af7a68a43589cd3f68e46b0550b.jpg
 
Back
Top Bottom