Safari ikiwa ndefu njiani ni kawaida kukutana na misuko sukoNimekuwa na mapenzi nayo ya dhati kabisa toka uvunguni mwa moyo wangu,na mapenzi haya yalianza zamani sana wakati mama akiwa msichana alipokutana na baba kipindi hicho akiwa mvulana akitoka kuwaangalia...nimepanda nayo nimeshuka nayo na kila ikifanya mazuri au mabaya bado niliendelea kuipa sapoti, ila kwa walichofanywa jana imeniuma sana na kwa moyo wa dhati kabisa bila ushawishi wa mtu,tena nikiwa na akili zangu timamu nachukua maamuzi magumu ya kuendelea kuipenda Yanga na kuendelea kuwa shabiki wake kindaki ndaki!
Kwa hili wanaloendelea kutufanyia waarabu nitaleta hoja binafsi hapa ya kuondoa ubalozi wetu huko Misri,kuwarudisha Simba Misri kwa kuwa nimenarrate mashabiki wengi wa simba hapa wamefurahia sisi kutolewa bila kujali kwamba waarabu wa Misri sio shemeji zao!
Best una maono sanaaTatizo ni nini au ndo unammendea yule naniii wa jana?
Mkuu pole sana,unajua hawa waarabu dawa yao ni huyu mnyama,mimi nilishangaa mlijitia kimbelembele ndiyo mana mmenyolewa kwa chupa.Kwa hili wanaloendelea kutufanyia waarabu nitaleta hoja binafsi hapa ya kuondoa ubalozi wetu huko Misri,kuwarudisha Simba Misri kwa kuwa nimenarrate mashabiki wengi wa simba hapa wamefurahia sisi kutolewa bila kujali kwamba waarabu wa Misri sio shemeji zao!
Kweli mkuu nataka niazishe mingo kwa yule wa jana.Tatizo ni nini au ndo unammendea yule naniii wa jana?
Sa tutajuaje kama anataka kusamehewa?? Mi siweki mkono pale bila yeye mwenyewe kuja hapaMsameheni basi
.............
Yule wa jana naona atafaa kuziba pengo la Nahrene.Kwahiyo nawewe unatafuta mwisho mwingine kama Jambilo? Au ndo unaweka mizizi kule kwa jana??
Siingilii maamuzi ya MTUSa tutajuaje kama anataka kusamehewa?? Mi siweki mkono pale bila yeye mwenyewe kuja hapa
Utanisamehe sana kwa hili
Hakuna namna sasaSiingilii maamuzi ya MTU
.............
Mkuu pole sana,unajua hawa waarabu dawa yao ni huyu mnyama,mimi nilishangaa mlijitia kimbelembele ndiyo mana mmenyolewa kwa chupa.
Makapuku ni tishio mjini.Makapuku mnanguvu sana kwa sasa humu jf heshima kwenu Yan uzi wenu umekua mkubwa sana
Wamewashindwa waarabu koko wa Tanga watawaweza waarabu OG walikozaliwa kule uarabu ulikotoka?
Ngoja kidogo, alafu nakwambia.Nini mkuu
Kweliee?Unajua masikini wakiamua kuungana wana umoja kuliko Mabilionea na wababe wa Arusha!
Mi nakutakia kila la heriYule wa jana naona atafaa kuziba pengo la Nahrene.
Wakongwe wameanza kupoteana.Makapuku ni tishio mjini.