Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimekuwa na mapenzi nayo ya dhati kabisa toka uvunguni mwa moyo wangu,na mapenzi haya yalianza zamani sana wakati mama akiwa msichana alipokutana na baba kipindi hicho akiwa mvulana akitoka kuwaangalia...nimepanda nayo nimeshuka nayo na kila ikifanya mazuri au mabaya bado niliendelea kuipa sapoti, ila kwa walichofanywa jana imeniuma sana na kwa moyo wa dhati kabisa bila ushawishi wa mtu,tena nikiwa na akili zangu timamu nachukua maamuzi magumu ya kuendelea kuipenda Yanga na kuendelea kuwa shabiki wake kindaki ndaki!
 
8247737ed397082f67b890ea9c0b6d0a.jpg

.................
 
Nimekuwa na mapenzi nayo ya dhati kabisa toka uvunguni mwa moyo wangu,na mapenzi haya yalianza zamani sana wakati mama akiwa msichana alipokutana na baba kipindi hicho akiwa mvulana akitoka kuwaangalia...nimepanda nayo nimeshuka nayo na kila ikifanya mazuri au mabaya bado niliendelea kuipa sapoti, ila kwa walichofanywa jana imeniuma sana na kwa moyo wa dhati kabisa bila ushawishi wa mtu,tena nikiwa na akili zangu timamu nachukua maamuzi magumu ya kuendelea kuipenda Yanga na kuendelea kuwa shabiki wake kindaki ndaki!
Aisee mkuu pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom