Makapuku Forum

Ngoja nikaoge nipake poda nije nicheke kwenye kioo
 
Baada ya jana kuona timu za mji mmoja zikifuvu hatua ya nusu fainali leo pia kuna wengine wataungana nao.
Tupate ratiba kamili
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
d2038ca0856b6ee857ac357ab.jpg[/IMG]
Kenya premier League

Uganda Premier League
Asantee mkuu ila ukweli Walioichezea Leicester city Leo na walioishuhudia Leicester city Leo watakuja kuadisia wajukuu na watoto wao kesho...... Inawezekana Atletico Madrid ndio timu nzuri kabisa na sahihi kwa Leicester na historia yao katika michuano hii na katika hatua hii.... Matokeo fair kabisa maana kwa Leicester city na historia yao hawajabebeshwa kapu... Ila ni matokeo ya kawaida sana kwa timu yenye kaliba ya Atletico Madrid. 1-1 hapa king power stadium na 1-0 kule Vicente Calderon ni matokeo ya kuadisia kwa Leicester city ya kesho.

Nendeni sasa nadhani hapo mtakuwa mmeshaonja utamu wa EPL na raha ya UCL....... Najua vita ya top four nyinyi hamuiwezi pambaneni muwe angalau mnacheza Europa league maana jezi zenu ni nguo za kushindia huku kwetu.

Leicester city 1-1 Atletico Madrid (aggr 1-2).
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…