Makapuku Forum

NUKUU YA LEO

Smile in the mirror, do that every morning and you will start to see a big difference in your life

Tabasamu kwenye kioo, fanya hivi kila asubuhi na utaanza kuona tofauti kubwa maishani mwako


Haya maneno yalipatwa kutamkwa na mwanamziki,mwanamashairi, msaani na mwanaharakati wa kijapani Bi. Yono Oko aliezaliwa tar. Feb 18 1933


Yoko anafanga kazi nyingi za kisanii na kijamii, mojawapo ni ile harakati ya amani duniani "Bed in for peace" akiwa fungate na mmewe bw. John Lennon na "War is over" mwaka 1969.

Hili la kutabasamu kwenye kioo linaonekana kama jambo la kijinga na kituko ila ni ukijiangalia kwenye kioo lazima ujicheke.

Lakini kucheka kuna faida nyingi kama kupunguza msongo wa mawazo,pukunguza mkandamizo wa damu n.k

Binafsi mimi huwa nacheka kila siku asubuhi...

Its real, try it..

Transcend.
 
Asante mkuu
 
Asante mume wangu
Raha yangu nikuone kila sekunde but no, kawajibikee laazizi wangu ili tutimize Malengo yetu...

T laazizi wangu, uwe na kazi njema hunie...

Nakupenda mpaka najionea wivu hubie
Wivu sunnah ila ukizidi huwa unakuwa Fardhi na si sunnah tena Acha bwana kaka akapige kazi usawa wenyewe huu wa baba jesca sio wa mkwere
 
Asante mume wangu
Raha yangu nikuone kila sekunde but no, kawajibikee laazizi wangu ili tutimize Malengo yetu...

T laazizi wangu, uwe na kazi njema hunie...

Nakupenda mpaka najionea wivu hubie
I love you Tabasamu langu...

I love venye unacheka! Yaaani wewe mtoto ....mungu akuweke hai kwa kweli...

I love you my world...

 
Shukran mkuu kwa nasaha ntazifanyia kazi

Je ukitazama kiooo unatakiwa ucheke mwisho mara ngapi maana nisije zidisha dozi nikawa mental?
 
Wooow
Nukuu imetulia sana, nafikiri ndo maana nina afya njema maana kwangu mie ni kila asubuhi na jioni lazima nicheke na kioo....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…