Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406
Nimekupata malkia wa JF. Safari nyingine neno lenye utata kama hili liweke kwenye alama hizi ".....". Hii itaondoa mkanganyiko kwani msomaji anajua mara moja kuwa ni neno la lugha nyingine. Samahani kama natombOka!ni kufoka au kuna kuongea sana
Hii kwata ya kawaida sema watu wanaishangaa kwa sababu ya promo tu ..
Poa mkuu pamoja sanaNaanzaje kuogopa
Nakuheshinu sana mkuu. Ulinipokea vizuri sana hapa Makapuku. Mimi huwa sisahau watu wanitendeao mema!Mkubwa tuheshimiane
Inspector nimekupata wewe fanya kazi yako ....Niko poa boss
Kuna taarifa niliziskia jana boss
Skuzipenda hata kidogo
Yaani boss wewe ni wakumpa taraka shunie
Eti kisa kamtaja pogba kweli boss
Fikiria mala mbili mbili boss
Afu mondray anaitaji risasi ya kichwa boss
ubarikiweNimekupata malkia wa JF. Safari nyingine neno lenye utata kama hili liweke kwenye alama hizi ".....". Hii itaondoa mkanganyiko kwani msomaji anajua mara moja kuwa ni neno la lugha nyingine. Samahani kama natombOka!
Nakuona ndugu yangu. Kwema lakini?Inspector nimekupata wewe fanya kazi yako ....
Shunie ni wangu jana kakudanganya
na ww ni wa kwangu mm tuInspector nimekupata wewe fanya kazi yako ....
Shunie ni wangu jana kakudanganya
"Ushetani" my foot. Huyo bibie na uzuri wote huo aamue kukuzawadia hata huyo shetani utamkumbuka?Huo ushetani mi siwezi fanya
Mahaba au siona ww ni wa kwangu mm tu
nimekamatika mshkaji wangu acha tuMahaba au sio
Hii kwata ya kawaida sema watu wanaishangaa kwa sababu ya promo tu ..
Sawa mkuuVitu vibaya uwa navipenda sana aisee
Naipenda na kazi yangu
Yaan sina wasiwasiiiIyo kazi nilipewa ww hakuna wakumla mzigo hapo
Naona endelea kushikilia hapo wala usiachie aisee.nimekamatika mshkaji wangu acha tu
hahahhh mshirikina wwSawa mkuu
Ngoja nikutikisie kibuyu ukomee
Ata mchawi tunasema mpe mtoto aleeUmeanza kuajiri walinzi sasa. Kuoa mwanamke famous napo shida tupu. Utaajiri walinzi sana lakini jamaa kula watakula tu. Mlinzi mwenyewe Shedede? Mwenyewe alikuja hapa na spidi kali akimtaka Shunie leo ndo kageuka inspector. Anyway, kuchapiwa ni siri ya ndani mkuu
Usimlete vishawishiiSi ajabu we mwenyewe ndo unamla!
Sasa mbona hutaki kukubarii kuwa shunie ni shem wakooNakuheshinu sana mkuu. Ulinipokea vizuri sana hapa Makapuku. Mimi huwa sisahau watu wanitendeao mema!