Makapuku Forum

Sawa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tungefanana sie wanaume tungepata shidah sana hakuna cha kuangalia chura wala nini
 
Pia wanaamini dini zimeletwa na meli tu hivyo
*Hakuna kanisa wala msikiti
*Hakuna cha krismass wala maulid

Ninachoeapendea Wakorea ni misimamo na kwamba wanaishi maisha yao waliyojichagulia
......
Lakini watu wanaswali na kusali majumbani mwao. Imani siyo lazima majengo.

Naona vice prezidaa wa Trump anachimba mikwara non stop. Pengine itabidi wajiandae kwa "demokrasia" ya lazima - American style!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…