Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
HumuweziiiMmhuu mm napenda hivyo hivyo..
HumuweziiiMmhuu mm napenda hivyo hivyo..
Vipi nyie ndio mnaanza kuuza maharage...Sawa mkuu mi kwa Leo nilikuwa mji unaitwa tunduma nimerudi jion
hahahhaha nimecheka kwa nguvu ujue mondray anakuvuruga tu maksudiLooooooooh nyie ndo mlikuwa mnatamani mshenga asaini talaka
Nimefuta talaka
hivi ni naniKwani humjuiii
Anajivurugaa yeyehahahhaha nimecheka kwa nguvu ujue mondray anakuvuruga tu maksudi
mondray eb niache jamaan nipo happy leo na babyShunie mm nakupenda...
Kwani ni mara ya kwanza nakuambia?
Hata Rayvany anajua..
baba mchungaji ni papaaAtanifaa kwa matumizi ya kiroho huyo,
baby achana anafurahi akikuona hivyo hukumbuki mpk alikutunga lile jina😡 😡 😡
Huyoooo huyooobaba mchungaji ni papaa
Shemu unanichulia wewe sio burehahahh ila ujue nimemshauri vizuri ujue shedede bado mtto sana

Picha huweki..Huyoooo huyooo
Shunie leo unaniambia hivy sawa tu labda usije kulee ambapo lee hayupomondray eb niache jamaan nipo happy leo na baby
Ngoja uone najua kuna sehem haupo hua nakutana na shunie tuHumuweziii
endelea sbbu ww unakimbiwa unataka na mm nikimbiweShunie leo unaniambia hivy sawa tu labda usije kulee ambapo lee hayupo
shededeShemu unanichulia wewe sio bure![]()
![]()
![]()
Hahaha mkuu basi mjini kuna kufaa, njoo tu mjini huko kijijini huwezi kulima, unagonga kashata za ufuta na rojo hahaha, wenzako wakulima wanagonga dona ulenda na harageZa ufuta