Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mbona talaka husemiunakumbuka ile siku nilimtania mpk leo ila jion alinisamehe akaniambia nisiongee mambo ya chelsea nikamtaja pogba kakasirika tena nimemwambia simtaniii tena
Mbona talaka husemiunakumbuka ile siku nilimtania mpk leo ila jion alinisamehe akaniambia nisiongee mambo ya chelsea nikamtaja pogba kakasirika tena nimemwambia simtaniii tena
No!!! Kakae utulie baada ya wiki kama maamuzi yako yatakuwa haya nitasaini.....huko ulipo inawezekana umetumia jani ambalo hulihimili![]()
![]()
![]()
![]()


Hizo hela ziko wapi? i.e. bank, kwenye simu au kwenye wallet?Mkuu shimba kwanza pole na majukumu ya huko call me jay naomba ushauri aiiseh nna kamtaji kangu kadogo dogo kama mil.4 hiv ila nna ttzo moja tu nna matumiz mabaya ya pesa aiiseh yaani nisione kitu nakirukia mpaka naisi iyo mil.4 ndani ya mwezi itakuwa imeisha aiiseh.
Nashindwaga kujizuia yaani najikuta natoa pesa nanunua nguo na vitu vingine aiiseh yaani ni shidah mkuu nishauri bhas nifanyeje niache tamaa za kununua nunua mavi2 angalau niwe tajir sku moja.
Nawengine nishaurini jamani
Atakulipa yeyeNikulinde aisee
ndio mm kibongeNa shunie anakuzid
ushauri mzuri n huo funga insta yako ndio inakupoteza uwaze kuvaa tu kaa ufikilie cha kufanya cha kuingiza hiyo mill 4 ili izae
hakujuii
Kwani talaka umeiombaa Leo ??huyo huyo pogba aliniambia nisitaje tena mambo ya mechi ya jana
naacha kushabikia manchester nabaki na simba tu najua tupo wote team moja
mm nina kg 110Wewe unanizid ngapi
Simba na Chelseahata mm ninavyoona inabidi nishabikie simba tu
unavyonifanyia Mungu hapendi halaf unajua kabisa
unamaliza kreti ya beerMkuu Mimi kreti ya bia naimaliza nikipata nyama choma ya kutosha
nataman siku nione ukiwa unamaliza
Asante shemu mzurnakuombea ufanikiwe
hahahhh ndio hiko kinachommaliza hela kuuza suraWeezy baby
hayo si yaliishaMbona talaka husemi
Sisaini tena labda lee utakuwa umeona kitoto kibichi huko unataka kukileta mujini!!!

mm siwezi kumlipaAtakulipa yeye
hahahh ila ujue nimemshauri vizuri ujue shedede bado mtto sana![]()
![]()
![]()
hakujuii