Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,666
- 50,981
Werrason tupo poa karibu upate kahawa kidogo na kashataHabari za jioni waungwana.
Werrason tupo poa karibu upate kahawa kidogo na kashataHabari za jioni waungwana.
Pamoja sana mkuuThanks kiongozi
Ahsante PapaaWerrason tupo poa karibu upate kahawa kidogo na kashata
hofu lazima mm mwenyewe sijuiHahahaha kazi kama kazi nyingine mkuu toa hofu
AhaaaaaaaaahNiko Bar nimekaa peke yangu mezani wakati meza zingine zote zina mtu na demu wake. Sasa nimejidai napiga simu
"Hallo namuona mke wako yuko na mwanaume hapa bar wanakunywa pombe pamoja"
Kwa sauti kubwa kila mtu akasikia,
Mara wale wadada wote wamekimbia tumebaki tunangaliana wanaume wenyewe
siwezi kaa mwenyewe mimi. Kama baridi wacha litutandike wooote shwaiiin
HAPA ROHO MBAYA TU!
Frex kabisa jooh sijui wewe.Mambo mkuu
Na unavonivurugaahahahhhh utakua mgeni wangu
baby amalizane na ww halaf utaniambiaSio mambo ya mafuta
Naaam mtu wangu! Umemuona Shunie? Halafu nasikia siku hizi umekuwa Katekista na tayari umekabidhiwa Kigango?Fakalava
Kazi za vibali tena hapo ndiyo wenza wanapo poteza utajiri hivi hivimshirikishe bae wangu halaf ataniambia
Usikate tamaa mapema bado nafasi ipo japo mpira wa bongo bingwa hupangwa na TFF na sio mchezo wa uwanjaninaona dalili za kutokuwa bingwa
hahahahhhhNiko Bar nimekaa peke yangu mezani wakati meza zingine zote zina mtu na demu wake. Sasa nimejidai napiga simu
"Hallo namuona mke wako yuko na mwanaume hapa bar wanakunywa pombe pamoja"
Kwa sauti kubwa kila mtu akasikia,
Mara wale wadada wote wamekimbia tumebaki tunangaliana wanaume wenyewe
siwezi kaa mwenyewe mimi. Kama baridi wacha litutandike wooote shwaiiin
HAPA ROHO MBAYA TU!
Naona unawachunga kondoo wakoPamoja sana mkuu
hahahhh sikuvurugi tenaNa unavonivurugaa
It is legal work, wait nitakupa task to attemptkazi gan hiyo na inahusu nn unasisitiza hivyo baba paroko
Mkuu Chelsea mtachukua ubingwa hilo halina ubishiSimba mambo yawe hivo ...Chelsea yawe vile 😵 😵 😵 ntakuwa mgeni wa nani
Kiongozii unapoteaaFrex kabisa jooh sijui wewe.
poa mondray za kwakoShunie mpenz mamboo
Kama yakupandishana mapepo ??baby amalizane na ww halaf utaniambia