Makapuku Forum

Makapuku Forum

Niko Bar nimekaa peke yangu mezani wakati meza zingine zote zina mtu na demu wake. Sasa nimejidai napiga simu

"Hallo namuona mke wako yuko na mwanaume hapa bar wanakunywa pombe pamoja"
Kwa sauti kubwa kila mtu akasikia,

Mara wale wadada wote wamekimbia tumebaki tunangaliana wanaume wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

siwezi kaa mwenyewe mimi. Kama baridi wacha litutandike wooote shwaiiin

HAPA ROHO MBAYA TU!
 
Back
Top Bottom