Niko Bar nimekaa peke yangu mezani wakati meza zingine zote zina mtu na demu wake. Sasa nimejidai napiga simu
"Hallo namuona mke wako yuko na mwanaume hapa bar wanakunywa pombe pamoja"
Kwa sauti kubwa kila mtu akasikia,
Mara wale wadada wote wamekimbia tumebaki tunangaliana wanaume wenyewe
siwezi kaa mwenyewe mimi. Kama baridi wacha litutandike wooote shwaiiin
HAPA ROHO MBAYA TU!