Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,926
10![]()
Uchaguzi wao ni ule wa "tunakukubali mzee"
....

10![]()
Uchaguzi wao ni ule wa "tunakukubali mzee"
....

hii nchi kiboko12![]()
Ukistaajabu panki la dogo ...ujue pia kunyoa ni kwa masharti
....
hahahhh13![]()
Huruhusiwi kumiliki gari
We jinunulie baiskeli tu
![]()
![]()
![]()
...
Khaaaa14![]()
Ukikutwa umevaa jeans utamkoma Bashite
....
shukran Bitoz ubarikiweWakuu nafikiri nimelisha kitu bongo zenu
Huko kwa Mapanki sio sehemu ya mchezo mchezo
Tukutane kesho
......
Yapo mkuuhuko panafaa kufugia n'gombe maana magari hakuna
14![]()
Ukikutwa umevaa jeans utamkoma Bashite
....
Mkuu kuna taarifa nimezipata kuwa Simba wamenyanganywa point zile walizo pewa na kamati ya masaa 72labda anakumbuka kauli yako ilee uliyomwambia utani usivuke mipaka![]()
Asante mkuu ..sio pakisipoti sipotiiWakuu nafikiri nimelisha kitu bongo zenu
Huko kwa Mapanki sio sehemu ya mchezo mchezo
Tukutane kesho
......
we si ulisema hufatilii mpira zitakua taarifa za uongo si kweli wamenyanganywaje lknMkuu kuna taarifa nimezipata kuwa Simba wamenyanganywa point zile walizo pewa na kamati ya masaa 72
Ahaaaaaah mpira wa kibongo pasua vichwaMkuu kuna taarifa nimezipata kuwa Simba wamenyanganywa point zile walizo pewa na kamati ya masaa 72
Mlinzi kazidiwaNamshangaa mlinzi hafanyi kaz
Paroko wewe sio wa kichuyachuyaaMlinzi kazidiwa
Presha za nini tena, weka maombi mbelehakuna presha bwana
Umefungua kofuli ehhh, lee ana habari pm ipo wazimbona pm umeniacha kwenye mataa
FakalavaKwema kabisa Kiongozi.
Baba paroko amefanya nini tena, kuna kazi nitakupa ni lazima unisaidie,mida ileile ya baba paroko
Ndo maana mpira wetu hatuendelei ubabaishaji mwingiAhaaaaaah mpira wa kibongo pasua vichwa