Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Poafungua pm
Poafungua pm
hapana inatakiwa mtu bana na jinsia ya ke,Utapewa mdoli
mm ata sijui huo ugonjwa kwakweli ugonjwa wa dege dege la ukubwani ulikataa kutufafanuliahapana inatakiwa mtu bana na jinsia ya ke,
maana kaugonjwa niliko nako sio kazuri
shunnie anakajua
Maana huwa kakijaga natokaga usiku peke yangu nikija stuka niko sehemu ambayo wanapatikana jinsia ya Ke
hahaha naona umelikariri hilo, hahahahahahha nikikuona nakumbuka ulivyoongea kuhusu wanawake humu unaweza pata dege dege la ukubwani
hahaha naona umelikariri hilo, hahahahahahha nikikuona nakumbuka ulivyoongea kuhusu wanawake humu unaweza pata dege dege la ukubwani
hahaha naona umelikariri hilo, hahaha
kwani uwongo mimi najijua nnahaka kaugonjwa ndomana nawakwepwa wasije nitia kifafa cha uzazi nikafa mgumba bure







mbona mnaitana tu wenyewe uko ?sema haki ya Mungu eb nidokeze unahusu nn au ukuje pm
Hehehe
Hakyamama, leo Daaaah
Nacheka sina mbavu, ahimidiwe baba paroko
hapa story tu kula kwenumbona mnaitana tu wenyewe uko ?
kwani mmepika nini?
Huyu sio mnyarwandaa...Msalimie pia. Mwambie Wanyarwanda wanamsalimia![]()
Namshangaa mlinzi hafanyi kazSiwaelewi ujue
Atacheza kwake hiyoau utacheza singeli hainaga ushemeji teh
duh huku hapanifai ,ntashinda njaa ,hapa story tu kula kwenu
safi kwema kiongozii??Niaje mitaa hii?
😱 😱 😱Unaona sasa unanikimbia mimi mjasriamali unakimbizwa na maparoko sasa.... Stop running away Shunie.
Kweli mkuu wakaribieeSasa humu kuna wageni wengi..
Karibuni wakuu