Makapuku Forum

Makapuku Forum

ce1f14cf0ccacfc4cb6a7a46473c8303.jpg
hili gazeti ujue haliogopi kabisa
 
Asante mkuu kwa updates mubashara ...ongera Samatta' team Europa yenu ...

Na Arsenal naona anajitahidi awezavyo kumfuata rafiki yake kipenzi man u ila yote tisa kumi Alexis Sanchez akitaka mshahara mnono ni haki yake ..... Ila pia akitaka kuondoka kwenda kutafuta mikono juu ni halali yake pia.... Mesut Ozil akitaka kuondoka ni halali kwake, ila pia akigoma kusaini kandarasi mpya ni haki yake pia..... Mzee Wenger akiomba mkataba mpya ni halali yake, ila pia akibebewa mabango ni haki yake pia. Watu wanataka mataji, wachezaji wanataka mataji ila mabosi wanamtaka mzee Wenger.

Kuna wakati akili zetu zinajidanganya kweli ila ukweli ni kwamba Arsenal ni Arsen wewe kubali wewe kataa. Mabosi wameshakubali Arsenal iwe halali yake na mashabiki hawamtaki wakiamini Arsen sio haki ya Arsenal.....

Endelea kujiuliza kwanini wazungu wamemjumuisha Alexis katika PFA player of the year list..... Alafu unalala wakati unajua uhalisia na ugumu wa michezo ya jumatatu.....

Vita ya top four sio mchezo.... Wacha tulaumiane maana huu Msimu ni wa lawama tu.

Tukutane kijiweni kwetu wakuu
huko kijiweni ni wapi
 
Mungu Baba Mwenyezi asante sana kwa kutuamsha tukiwa salama,tunakuomba utubariki siku ya leo ikawe njema ya kukupendeza,tunawaombea wagonjwa,wafiwa,wanaouguza,wenye changamoto yoyote Baba ukawape wepesi,tunawaombea wasafiri Mungu ukawalinde vyombo vyote vya usafiri majini,nchi kavu,angani viwe salama,Bariki kazi za mikono yetu Baba ili kila mmoja apate riziki halali,tunaombea ndoa zote,uchumba na mahusiano yawe ya amani.Baba tunakushukuru kwa kuwa utafanya sawa na mapenzi yako tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu Mpatanishi na Mwokozi wetu Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom