Makapuku Forum

Makapuku Forum

8cbf0d37f692bad886609750e5aed4b0.jpg
 
Matokeo ya mechi za Jumatatu
Belgium playoffs
2b4ec52f3c95c707c5287f8eb73a972b.jpg

England EPL
ee77087b4c90b4498b263084909c1843.jpg

Kenya premier League
69d869361a3483e65d2a3e8a03543ca1.jpg

LaLiga
8a4dd0ebabd6893949342214de0fc5dd.jpg
Asante mkuu kwa updates mubashara ...ongera Samatta' team Europa yenu ...

Na Arsenal naona anajitahidi awezavyo kumfuata rafiki yake kipenzi man u ila yote tisa kumi Alexis Sanchez akitaka mshahara mnono ni haki yake ..... Ila pia akitaka kuondoka kwenda kutafuta mikono juu ni halali yake pia.... Mesut Ozil akitaka kuondoka ni halali kwake, ila pia akigoma kusaini kandarasi mpya ni haki yake pia..... Mzee Wenger akiomba mkataba mpya ni halali yake, ila pia akibebewa mabango ni haki yake pia. Watu wanataka mataji, wachezaji wanataka mataji ila mabosi wanamtaka mzee Wenger.

Kuna wakati akili zetu zinajidanganya kweli ila ukweli ni kwamba Arsenal ni Arsen wewe kubali wewe kataa. Mabosi wameshakubali Arsenal iwe halali yake na mashabiki hawamtaki wakiamini Arsen sio haki ya Arsenal.....

Endelea kujiuliza kwanini wazungu wamemjumuisha Alexis katika PFA player of the year list..... Alafu unalala wakati unajua uhalisia na ugumu wa michezo ya jumatatu.....

Vita ya top four sio mchezo.... Wacha tulaumiane maana huu Msimu ni wa lawama tu.

Tukutane kijiweni kwetu wakuu
 
Tutakutana huko
 
Ratiba ya mechi za leo
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
5e0046287a89518ecc9533d95c37e0a6.jpg

The Fox watamkaribisha Atletico Madrid wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo kule Hispania na sasa wanakuja kutushangaza, BTW nawatakia heri wafike nusu fainali huku nako bingwa mtetezi Real Madrid anamkaribisha Bayern Munich, Je Bayern nae atashinda kama alivyoshinda Real pale Arena?
France league 1
21b5ffcf1b3de6a556702c72093102e7.jpg

Uganda Premier League
bfdea4391b45f518021f821c027e0227.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom