BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Morning mkuu ubarikiweMorning guyz
Morning mkuu ubarikiweMorning guyz
Salama tu mkuuWakuu mmeamkeje?
![]()
![]()
![]()
Sina neno nawe harakati zako kitambo tu nazijua ila sisemi kitu iweje leo niseme
Endelea tu utafanikiwa

Morning mkuu Mondray ubarikiweMorning wakuuu
I seee iga ufe
Mungu anatisha ameumba kila kitu
But they are bussy making and plan to use
Amen mama mchungaji kwa salaMungu Baba Mwenyezi asante sana kwa kutuamsha tukiwa salama,tunakuomba utubariki siku ya leo ikawe njema ya kukupendeza,tunawaombea wagonjwa,wafiwa,wanaouguza,wenye changamoto yoyote Baba ukawape wepesi,tunawaombea wasafiri Mungu ukawalinde vyombo vyote vya usafiri majini,nchi kavu,angani viwe salama,Bariki kazi za mikono yetu Baba ili kila mmoja apate riziki halali,tunaombea ndoa zote,uchumba na mahusiano yawe ya amani.Baba tunakushukuru kwa kuwa utafanya sawa na mapenzi yako tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu Mpatanishi na Mwokozi wetu Amen
Waiting.....
AmenAsante mkuu Nyagei kwa michezo siku njema ubarikiwe
Hasira hukaa kifuani kwa mpumbavu
We have many megalomaniac in our world tumuombe Mungu atusaidieUF...![]()
Wapumzike kwa amani marehemu wote,wafiwa Mungu awape faraja,inaumiza sanaUdaku...![]()
![]()
Good morning Mkuu Nyagei za uzima,unaendeleaje ubarikiwe mkuu.Good morning wana familia ya kapuku
Morning mkuu..
Morning fam
Asante mkuuSalama tu mkuu
Mkuu kyela au tukuyuAmen mama mchungaji kwa sala
Member wa familia ya Nyagei wapo safarini kuelekea Tukuyu msibani
AminaSalama dear ubarikiwe
kachiri binamu nilisahau n kinandaUsikonde, utapenda nimuweke na songi la Boko, Tupendane, Kinyaunyau au Kachiri.
Waziri Ally kama ndo unayemuongelea alikuwa ni mpiga kinanda zaidi na kuimba. Gitaa zilipigwa na mkongwe Kitime na kina Mody.
Usiku mwema