Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Na kwako piaWakuu
Nawatakia usiku mwema
Na kwako piaWakuu
Nawatakia usiku mwema
Hongera zao kwa kupanda daraja![]()
![]()
Brighton imepanda daraja rasmi kucheza EPL![]()
![]()
Newcastle nayo bado kiduchu tu
Zimebaki mechi 3
Blackburn na Wigan iznaelekea kushuka daraja hadi daraja la pili
NB:
Timu ya 3 hadi ya 6 zitacheza playoff kugombea nafasi moja
........
binamu shukran hivi waziri wa njenje lile n gita gan nataman siku umuweke
BossJinga kweli ni la kupiga konzi aformat mafaili kichwanii
Na wewe umejuajee
Falsesi picha yale aliyoweka kujifananisha na harmorapa anaonekana tu muuza sura
Ukweli ni upiFalse