Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
ahhahhahLeta nikutunzie wakati unawaza la kufanya
ahhahhahLeta nikutunzie wakati unawaza la kufanya
Khaaaaaaaaacha usharobaro tafuta maisha kuvaa kupo tu insta inakupoteza funga acc huko
Ongea nae kwakweliKhaaaa hivi boss wangu amerukwa na akil au
Ngoja niongee nae aiseeeh
Yàaani nyie badala yakunishauliLeta nikutunzie wakati unawaza la kufanya
acha usharobaro tafuta maisha kuvaa kupo tu insta inakupoteza funga acc huko
haahhahaWapi
Mpaka kibarua kiote nyasi
Yaani we acha tuumbona sikusomi leo au upo kwenye makelele na leo mana kwa kwaito ww
ndiooooKhaaaaaaaa
Omba msamaha weweAh wapi boss kazi nyingine siiwezi
Niko byeeeNishamaliza shem uko mzima lakin
Siamin yaan pogba akukosanishe na leeunakumbuka ile siku nilimtania mpk leo ila jion alinisamehe akaniambia nisiongee mambo ya chelsea nikamtaja pogba kakasirika tena nimemwambia simtaniii tena
Nikulinde aiseeahhhaha kwahiyo unataka kazi gan
Mmh upo kwenye kwaitoYaani we acha tuu
Nipo nipo tuu
Hakijaota bado shemuWapi
Mpaka kibarua kiote nyasi
Ndo maana mie sipendi mpiraSiamin yaan pogba akukosanishe na lee
ushauri mzuri n huo funga insta yako ndio inakupoteza uwaze kuvaa tu kaa ufikilie cha kufanya cha kuingiza hiyo mill 4 ili izaeYàaani nyie badala yakunishauli
Atanielewa tu we tulia hapo atakuja kukuomba msamaha mwenyeweOngea nae kwakweli
unaongea na mm au na simuOmba msamaha wewe
huyo huyo pogba aliniambia nisitaje tena mambo ya mechi ya janaSiamin yaan pogba akukosanishe na lee
Pambana kirudiHakijaota bado shemu
hahahah mpk boss anisameheNikulinde aisee