Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,278
- 35,639
hapana aisee sijawahi hata beer 10 sijawahi kunywa
Lol, ila 9, 8, 7, 6, 5 ushawahi kunywa, ukijizijumlisha hizi, nini 10 unapata 35 kreti na robo
hapana aisee sijawahi hata beer 10 sijawahi kunywa
binamu ujue sipo sawa mjomba ako anataka kuniacha ndio nabembeleza hanielewiLol, ila 9, 8, 7, 6, 5 ushawahi kunywa, ukijizijumlisha hizi, nini 10 unapata 35 kreti na robo
Nakutesajeehahahah hivi unajiskiaje lkn unavyonitesa
Ahaaaaaah bhinamuuuLol, ila 9, 8, 7, 6, 5 ushawahi kunywa, ukijizijumlisha hizi, nini 10 unapata 35 kreti na robo
binamu ujue sipo sawa mjomba ako anataka kuniacha ndio nabembeleza hanielewi
Bhinamu najua fika unajua navomuusuduu huyu auntie yako ..tumepitia mabonde mengi yote uliyosema hujakosea ata kidogo ...Mimi nampenda sana kama unavojua ila yeye aliomba talaka ya mwaka niliumiaa kweli ila navomuheshimu nkamkubalia kinyonge ...ata kule sikuwahi kurudi nilipokuwa napitisha macho kipindi nakuja kwako ...Haiwezekani labda tu sijui kapatwa na pepo gani. Dadaake ambaye mimi ni mama yangu mwanzoni tulijua umemlisha limbwata, tukamuendea kwa 'fundi' fundi hakuona kitu tukaingia kwenye maombi tukapata jibu kuwa anakupenda upeo. Hakai wala hatembei.
Ana mapenzi mubashara, mjomba lee empire hebu achana na mambo ya pasaka rudi kwa auntie
Bado tuko Afrika Magharibi katika kuwaangalia wacharaza nyuzi za gitaa wanaosifika katika tasnia ya muziki.
Leo tumwangalie “The Hendrix of the Sahara”, Vieux Farka Touré mtoto wa gwiji la gitaa nchini Mali aliyezaliwa mwaka 1981. Husemwa, maji hufuata mkondo basi ndivyo ilivyo kwa kijana huyu kwani baba yake Ali Farka alikuwa mpiga gitaa na muimbaji mzuri kupata kutokea nchini Mali. Ali alifariki mwaka 2006 kwa kansa.
Mwaka 2010, Vieux alitumbuiza katika tamasha la ufunguzi wa FIFA World Cup lililofanyika South Africa.
Hii ni clip ya YouTube, sikiza nyuzi.
Hadi wakati mwingine tena.
unajuaNakutesajee
binamu labda ww anaweza kukuskiaHaiwezekani labda tu sijui kapatwa na pepo gani. Dadaake ambaye mimi ni mama yangu mwanzoni tulijua umemlisha limbwata, tukamuendea kwa 'fundi' fundi hakuona kitu tukaingia kwenye maombi tukapata jibu kuwa anakupenda upeo. Hakai wala hatembei.
Ana mapenzi mubashara, mjomba lee empire hebu achana na mambo ya pasaka rudi kwa auntie
baby ule ni utani tu ww mwenyewe uliniambia kapuku huku n utani tu jamanBhinamu najua fika unajua navomuusuduu huyu auntie yako ..tumepitia mabonde mengi yote uliyosema hujakosea ata kidogo ...Mimi nampenda sana kama unavojua ila yeye aliomba talaka ya mwaka niliumiaa kweli ila navomuheshimu nkamkubalia kinyonge ...ata kule sikuwahi kurudi nilipokuwa napitisha macho kipindi nakuja kwako ...
Bado tuko Afrika Magharibi katika kuwaangalia wacharaza nyuzi za gitaa wanaosifika katika tasnia ya muziki.
Leo tumwangalie “The Hendrix of the Sahara”, Vieux Farka Touré mtoto wa gwiji la gitaa nchini Mali aliyezaliwa mwaka 1981. Husemwa, maji hufuata mkondo basi ndivyo ilivyo kwa kijana huyu kwani baba yake Ali Farka alikuwa mpiga gitaa na muimbaji mzuri kupata kutokea nchini Mali. Ali alifariki mwaka 2006 kwa kansa.
Mwaka 2010, Vieux alitumbuiza katika tamasha la ufunguzi wa FIFA World Cup lililofanyika South Africa.
Hii ni clip ya YouTube, sikiza nyuzi.
Hadi wakati mwingine tena.
Baby wake mimi..Ulienda wapi kwa mfano
Na kwako piaUsiku mwema kwenu makapuku