Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
mushenga usiongee hivyo ujue nina moyo mm naweza kufwaaaSisaini tena labda lee utakuwa umeona kitoto kibichi huko unataka kukileta mujini!!!
mushenga usiongee hivyo ujue nina moyo mm naweza kufwaaaSisaini tena labda lee utakuwa umeona kitoto kibichi huko unataka kukileta mujini!!!
Wana-bet maisha ya watu!!!![]()
Wazungu hamnazo
...
Kweli nini???Na kweli
Mzee pasaka umepoteaa yUnamshtaki mlinzi gani mimi au
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na shunie anakuzidBado hujanifikia
NtaidukuaIpo Udakuz insta
Simu huwa inagoma kuziweka hapa jf
......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Boss sasa siku ukizirai kwa mfano nakubebaje iyo kilo niya gunia la
mpunga [emoji13] [emoji13]
[emoji26] Karibu, naskia ulikuwa DafurJamani familia yangu mko njema mimewamic sana jaman
Bhasi penshenii inakutoshaaAh wapi boss kazi nyingine siiwezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mbona sikusomi leo au upo kwenye makelele na leo mana kwa kwaito ww
[emoji4] [emoji4]sirudii tena hivi ndio nan huyo mm namjua konte tu yaan sitaki tena utani
Wewe unanizid ngapihahahhaha ubonge
Tuko poaaJamani familia yangu mko njema mimewamic sana jaman
Oyoooooo!!!acha usharobaro tafuta maisha kuvaa kupo tu insta inakupoteza funga acc huko
Salama kabisa, ndiyo naimaliza Sikukuu.salama za kwako fakalava
[emoji15][emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mkuu Mimi kreti ya bia naimaliza nikipata nyama choma ya kutoshaMkuu shimba kwanza pole na majukumu ya huko call me jay naomba ushauri aiiseh nna kamtaji kangu kadogo dogo kama mil.4 hiv ila nna ttzo moja tu nna matumiz mabaya ya pesa aiiseh yaani nisione kitu nakirukia mpaka naisi iyo mil.4 ndani ya mwezi itakuwa imeisha aiiseh.
Nashindwaga kujizuia yaani najikuta natoa pesa nanunua nguo na vitu vingine aiiseh yaani ni shidah mkuu nishauri bhas nifanyeje niache tamaa za kununua nunua mavi2 angalau niwe tajir sku moja.
Nawengine nishaurini jamani
Akijibu nitagKwan vip shemu hamko sawa ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Leta nikutunzie wakati unawaza la kufanya
Weezy babyacha usharobaro tafuta maisha kuvaa kupo tu insta inakupoteza funga acc huko