Acha akutake mwenyewe, kwa asili ya mahusiano ya kibongo ukijipendekeza sana kwa me atakutesa sana.
Najua unampenda japo hathamini moyo wako. Lee anaweza kuwa wa chato hawajui thamani ya mke na mpenzi
Mungu akutangulie katika kila jambo ,mkono wa Mungu uwe juu yenu katika kipindi chote hiki kwa wasafiri na shughuli zote za kumpumzisha mpendwa wetu,Mungu awatie nguvu