Makapuku Forum

Sniper

...
 
Usiendekeze ubishi fuatilia mtiririko wa mada
Silaha kubwa ya USA ni propaganda kupitia CIA...Nyie mnaoamini anashindaga vita kwa hayo masilaha yake makubwamakubwa mnajidanganya hamjui mambo ya nyuma ya pazia
Naishia hapa
.......
 
Weka nyama mkuu tupate mawili matatu
Bay of Pig Invansion

17-19 April 1961.

SEHEMU YA KWANZA.

Kwanza kabisa taifa la Cuba na Marekani walianza uhasama wa kisiasa wakati wa vita ya Spanish-ameican war mwaka 1898.

Cuba ilikuwa ni miliki/koloni la wahispania kwa miaka mingi ktk karne ya 19.

Baada ya hapo Cuba ilikuwa miliki ya marekani hadi Cuba ilipopata huru 20/05/1902 kutoka kwa wamerekani na wakamuweka mcuba-mzaliwa marekani Bw. Tomas Palma kuongoza Cuba kwa mara ya kwanza.

Baada ya hapo Cuba ikaja kupata vijana kama Castro wakaondoa mapandikizi ya wamarekani serikali.

Back to the Topic sasa..



Mwaka 1959 marekani chini ya Dwight D. Eisenhower ilikuwa kwenye Vita baridi ambayo kipindi hiki mirengo ya kisiasa ya kibepari na kikomunist ilionyesha tofauti zao sana..

Sasa Cuba chini ya Castro ilifanikiwa kutaifisha mashamba ya kahawa, mashamba ya miwa na viwanda vya wamarekani nchini cuba ila kubwa zaidi ni kuwa Cuba iliweza kujenga ushirika mkubwa na nchi za umoja wa kisovieti ambazo ndio zilikuwa vitani na marekani

kwa hiyo marekani alitaka ampindue Castro manake anakuwa threat sasa..

CIA chini ya mkurugenzi wa wakati huo Bw. Allen Dulles wakaja na mpango wa kumpindua Fidel castro na serikali yake...

Inaendelea sehemu ya 2..
 


KAPUKU forever ...waiting 2
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…