Makapuku Forum

Pole sana kiongozi ...Mungu ampumzishe mahala pema
 
Mmarekani mpuuzi sana, vita vyote anavyopigana anapigana nje ya ardhi yake.....so uharibifu unakuwa hau-involve raia wake na ardhi yake ila tu askari wake!!!

Dogo kiduku anavurumisha kitu mpaka us tena atomic!!!

Sidhani kama watamshambulia japo jana nimesikia tetesi kuwa Trump kasema zishambuliwe nuclear sites za N. Korea
 


Ndo faida ya akili mkubwa
Hata kule Iran hapagusi
Mmarekani kazoea kuvionea vinchi vidogovidogo
Sasa wamekutana na jiwe
......
 
Hana uwezo wa kupiga kutokea NK mpaka USA

Atakachofanya labda atume nyambiz zisizoonekana kwenda California ili ashambulie km alivyofanya Japan kipind kile

 
Pole sana kiongozi mwekahazina nyagei na familia kiujumla bila kusahau kapuku msiba wako msiba wetu ...Pole sana

Wanakapuku najua sisi ni wamoja na tunaishi kwa upendo na amani mnaonaje "maneno kiukweli yanafariji " ila tungeonesha kitu cha tofauti

Mfano Mimi natamani angalau mwekahazina wetu jamvini apate ata chochote ata maji akiwa njiani ...sorry lakini ni mawazo yangu na ubaya nilipo siwezi fanya ila naweza mpa mtu maelekezo mtu akafanya nachohisi kufanya ...ila utaratibu ukiwekwa itakuwa powa

Msininukuu vibaya wapendwa ...Pole sana kishet wake mondray
 
Mkorea atashambulia Us kama Us atafanya attack..lakini Us ana jeuri ya Anti-missile system.

Sijui kama AMS za Us zinaweza kudetect missiles zote za Mkorea
 
Mkuu wazo zuri na hii itonyesha msikamano zaidi nadhani kama makapuku tufanye utaratibu kama kuna njia ya kuwakilisha chochote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…