BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
hainaga ushemeji tunakulaga sijui ukiwa unacheza na shela lako utaruka ruka yaan sipati picha

hainaga ushemeji tunakulaga sijui ukiwa unacheza na shela lako utaruka ruka yaan sipati picha

Yaaani long live jf maana nimepata kitu kipya leoSiku hizi Dar wapo wengii,hawa watu wanaokaanga mitaani wanakaanga migebuka kuliko samaki wa baharini,usipojua kutofautisha utadhani unakula kubua kumbe mgebuka
hainaga ushemeji tunakulaga sijui ukiwa unacheza na shela lako utaruka ruka yaan sipati picha

Umekaa kama nnyaSio kwa ugali huu![]()
Mimi mkuuTom & jerry mbona huwaweki tena
hahahh cheka tu mama mchuchu yaan sipati picha
UnamvurugaSio jumatatu
Mimi naona haijanipendeza machoni hiyo mayonaizhuku kwetu naonaga wauza chips wanayo
si ndio hivyo ulivyokua unataka
HahahaAlafuu unataka unigombanishee na marafiki zangu wa dar
![]()
![]()
![]()
hahahhh kakufananisha na leeMimi mkuu
Haa astaghfirllah usifananishe chakula na hizo mamboUmekaa kama nnya
Mchunga na mgaganiYaaan ndio mboga yetu hiyo tanga ndio home dear
lkn alisema jumatatu mpk kuweka nukuuUnamvuruga
hahahhhMimi naona haijanipendeza machoni hiyo mayonaiz
Karibu dearYaaani long live jf maana nimepata kitu kipya leo
Hahahahainaga ushemeji tunakulaga sijui ukiwa unacheza na shela lako utaruka ruka yaan sipati picha
Asante nimekaribia BlessedHopeKaribu dear