Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
hainaga ushemeji tunakulaga sijui ukiwa unacheza na shela lako utaruka ruka yaan sipati pichaTeh teh teh
hainaga ushemeji tunakulaga sijui ukiwa unacheza na shela lako utaruka ruka yaan sipati pichaTeh teh teh
Jumanne bhanaalisema jumatatu ataonekana asipoonekana kesho ndio mlete visingizio
KwambaDaktari amethibitishaa?
Oooh nimefurahi pia dearNimefurahi kufaham hilo best yetu maana namimi tanga pia nyumbani
Duh had kwenye chipsanayajua ata kwenye chips ukinunua utakutana nayo

Mpaka kifo kitutenganishe na sio...hivi ujue ni mchochezi sana
mkewe anampenda mumuwe hivyo hivyo kwa hali yoyote aliyokua nayo
ila mm yamenishinda sijui n ushamba nilionao ukitaka nisile niwekee mayonaiseMmmmmmh siamini
NilikoseaaKwamba
Hawa ni dagaa
Dada jamaanMbona kibichi
Siku hizi Dar wapo wengii,hawa watu wanaokaanga mitaani wanakaanga migebuka kuliko samaki wa baharini,usipojua kutofautisha utadhani unakula kibua kumbe mgebukaNdio mara yangu ya kwanza kuwaona hua nawasikia tu shem asate and be blessed
hahahhh kwan mama mchuchu ndio anawawekagaTom & jerry mbona huwaweki tena
Sio jumatatuJumanne bhana
Mmmh Sakayo bwana,nimechekaaa sanaMbona kibichi
HahahaEti ndo balance diet yaoo
huku kwetu naonaga wauza chips wanayoDuh had kwenye chips![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
AmeenMpaka kifo kitutenganishe na sio...