Makapuku Forum

Makapuku Forum

1907 - Joseph Armand Bombardier anazaliwa.

Mfanyabiashara kutoka nchini Canada na mwanzilishi wa kampuni ya ndege ya Bombardier.
e5a63016213fe9e48a3f26d10da444af.jpg
dd95a549ab4d742ab4bc6a594418ca59.jpg
4520eeefb66de267abbfad688c36b533.jpg

Kampuni yake pia ilijihusisha na utengenezaji wa vyombo zingine vya usafiri

Ndio waliotuuzia vitoroli vinavyopaa
.....
 
1960 - Rafael Benitez anazaliwa.

Kocha wa zamani wa Liverpool, Real Madrid, Inter Milan na sasa Newcastle United.
ac5d5a927d38fccbbc4997744105f4e1.jpg
62326c93b78fe5c117f0c9d1045b5ed8.jpg
307b2936e7a903ab099c448ca38af446.jpg
b5d43b0e2d79de335d39cd3daa68aba1.jpg

Sasa hivi yupo Newcastle Utd anakimbiza Championship ile mbaya
Yukutane EPL next season

Alitwaa UEFA akiwa Liverpool baada ya kukomboa goli 3 mechi ya final v Ac Milan na kushinda penalty
Hadi Half Time Milan 3;0 Liver
......
 
ac5d5a927d38fccbbc4997744105f4e1.jpg
62326c93b78fe5c117f0c9d1045b5ed8.jpg
307b2936e7a903ab099c448ca38af446.jpg
b5d43b0e2d79de335d39cd3daa68aba1.jpg

Sasa hivi yupo Newcastle Utd anakimbiza Championship ile mbaya
Yukutane EPL next season

Alitwaa UEFA akiwa Liverpool baada ya kukomboa goli 3 mechi ya final v Ac Milan na kushinda penalty
Hadi Half Time Milan 3;0 Liver
......
Newcastle wanarudi tena EPL. Ndio timu pekee inayoshabikiwa na viongozi wengi wa Serikali ya Uingereza akiwemo Malikia Elizabeth.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom