Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Leo Katika Historia:
1894 - Klabu ya Man City inaanzishwa.
1894 - Klabu ya Man City inaanzishwa.
Leo Katika Historia:
1894 - Klabu ya Man City inaanzishwa.
Asantee mkuu ...ubarikiweeeLeo katika Historia:
Niwatakie Pasaka njema kwenu na familia zenu kwa ujumla.
1889 - Charles " Charlie " Chaplin anazaliwa.
Alikuwa ni Mchekeshaji mahiri kutoka nchini Uingereza.
Alitunukiwa heshima ya " SIR " kwa mchango wake mkubwa katika tasnia ya filamu nchini Uingereza.
Hivyo anajulikana kama Sir Charlie Chaplin.
![]()
![]()
![]()
Mr Bean haoni ndani
Jina lake ndo chimbuko la watu wanaochekesha kuitwa Machalechale
.....

Nilifikiria hela yangu, sikuweka. Kubet inahitaji moyo sana.Asantee mkuu ...ubarikiweee
Vipi lakini mkeka ulichanganya ??? Mimi nillipita mlemle for 86%
Imani yako imekuponya mkuu ....Nilifikiria hela yangu, sikuweka. Kubet inahitaji moyo sana.
