Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Pamojaa mkuuHappy Easter kapukuz. Mpo on fire ile mbaya. Yaani huku ni full michanganyiko. Bravo kapukuz
Pamojaa mkuuHappy Easter kapukuz. Mpo on fire ile mbaya. Yaani huku ni full michanganyiko. Bravo kapukuz
Kwelii na mmi napenda maneno yake fb ....wanaweza kukaa wote na kirat![]()
![]()
![]()
![]()
Napenda post zake FB
maneno machache ujumbe mwingi
....
Hofu na mashaka kwa mr tHeri ya pasaka kwenu nyote, naamini mmeamka salama....
Usiwe na shaka, hajambo kabisaaHofu na mashaka kwa mr t
Mwambie tunataka kucheza singeriUsiwe na shaka, hajambo kabisaa
H.B.D Charle Chaplin..swahiba wa Nyagei...hongera1889 - Charles " Charlie " Chaplin anazaliwa.
Alikuwa ni Mchekeshaji mahiri kutoka nchini Uingereza.
Alitunukiwa heshima ya " SIR " kwa mchango wake mkubwa katika tasnia ya filamu nchini Uingereza.
Hivyo anajulikana kama Sir Charlie Chaplin.
H.B.D Joseph Armand Bombadier..na Tz tunamuenzi kwa kumiliki ndege zake1907 - Joseph Armand Bombardier anazaliwa.
Mfanyabiashara kutoka nchini Canada na mwanzilishi wa kampuni ya ndege ya Bombardier.
H.B.D Papa Benedicto wa 161927 - Papa Benedicto wa 16 anazaliwa.
H.B.D Rafael Benitez1960 - Rafael Benitez anazaliwa.
Kocha wa zamani wa Liverpool, Real Madrid, Inter Milan na sasa Newcastle United.
Same to you mkuu Bitoz ubarikiwe
H.B.D Akon1973 - Akon anazaliwa.
Mwanamuziki wa Kimarekani mwenye asili ya Senegal.
H.B.D Shinji Okazaki1986 - Shinji Okazaki anazaliwa.
Straika wa Leicester City na timu ya taifa ya Japan.
H.B.D AaronLennon1987 - Aaron Lennon anazaliwa.
Winga wa zamani wa Spurs ambaye kwasasa anakipiga Everton.
Same to you mummy ubarikiweHappy Easter kapukuz
H.B.D Eddo Kumwembe- Edo Kumwembe anazaliwa.
Mchambuzi mahiri wa soka nchini Tanzania.
H.B.D Club ya Man City![]()
![]()
![]()
Ni kongwe na yenye mashabiki wengi jijini Manchester kuliko Man Utd pia ni timu ya jiji...ni km Mbeya City na Prison
Man Utd ina mashabiki wengi worldwide
.....
Ubarikiwe mkuu Mussolin5,asante kwa historia,Pasaka njemaLeo katika Historia:
Niwatakie Pasaka njema kwenu na familia zenu kwa ujumla.
Nawe pia mkuu ubarikiwe![]()
Happy Easter, Watu wa Mungu
Same to you BravoHappy Easter kapukuz. Mpo on fire ile mbaya. Yaani huku ni full michanganyiko. Bravo kapukuz