Makapuku Forum

Suala la kuuguza ndugu linahitaji moyo sana wa kujitolea

Nakumbuka nililala sana pale MNH almost miezi miwili kwa kuuguza honestly unachoka ila unapata nguvu ndugu wakija kukutembeleeni.
Pole sana ,ila tunapswa kuvumilia n kufanya matendo ya huruma si kwa ndugu tu hata kwa watu baki.

Siku chache hizo nilipokua na mgonjwa muhimbili nimekutana na watu hawana ndugu kabisa,wanatamani hata wa kumwambia umeamkaje na kumpa uji,kuna mzee wa kiume ana miezi kumi pale ,mke watoto wamekimbia na hajui aende wapi ,ea mikoani ndio kabisaa wanatoroka hospitali huku wangali wagonjwa.Mungu atusaidie sana
 
Mungu atuzidishie upendo mkuu
 
aisee inasikitisha sana
 
Mmh ni ngumu,hatuwezi amua na kifo kipo hatuwezi kikimbia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…