BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Unaumiza sana wafanyabiashara,leseni walipe,kodi walipe,ushuru walipe,muda wa kufungua wapangiwe ..sio fair..na hata huo usafi hawafanyi wanalala nyumbani kwa hasiraUtaratibu huu unaniudhi sana
Alikuwa ndani ya meli?1912 - Thomas Andrews anafariki Dunia.
Alikuwa ni mfanyabiashara na mtengenezaji wa meli ya Titanic.
pole ndio jiji lako usikute ata kura uliwapigia sasa hivi mnajuta kimoyo moyoUtaratibu huu unaniudhi sana
Mmh nitairudia kuangaliaHahaha
Kichwa ndo kiliishia mabegani bhana
Goli la mkono my dearpole ndio jiji lako usikute ata kura uliwapigia sasa hivi mnajuta kimoyo moyo
Aah mi majuzi nimetoka kulipa fine baada ya kukaidi , nishachoka na huu upuuzi , yaani huyu msukuma huyu kweli anataka tuishi km mashetaniUnaumiza sana wafanyabiashara,leseni walipe,kodi walipe,ushuru walipe,muda wa kufungua wapangiwe ..sio fair..na hata huo usafi hawafanyi wanalala nyumbani kwa hasira
Shukrani le dictator Mussolin5 kwa historiaLEO KATIKA HISTORIA:
Niwatakie maandalizi mema ya Pasaka.
Loooh , ningewapigia Leo hii ningekuwa najuta sana ,pole ndio jiji lako usikute ata kura uliwapigia sasa hivi mnajuta kimoyo moyo
PoaMmh nitairudia kuangalia
Leo ni derby El madonidaMi muda muafaka wa kurejesha heshima ya Milan iliyopotea kwa siku za karibuni.
HahaaaGoli la mkono my dear
Halafu ataongoza kwa miaka 15 na sio 10 tenaGoli la mkono my dear
safi sanaLoooh , ningewapigia Leo hii ningekuwa najuta sana ,
Pamojaa mkuu mwekahazinaAhsante Katibu lee kwa magazeti na UF
Pole sana mkuu ,ni ngumu kuelezea ila watu wanaumiaAah mi majuzi nimetoka kulipa fine baada ya kukaidi , nishachoka na huu upuuzi , yaani huyu msukuma huyu kweli anataka tuishi km mashetani
SanaWatakua wanafanya kazi kwa hofu
Najua wanawake ni viumbe wenye shukrani sana hivyo hawawezi kumbana aliyewapa fursaWatakua wanafanya kazi kwa hofu
Ngoja tuendelee kuisoma nambaPole sana mkuu ,ni ngumu kuelezea ila watu wanaumia
Sikuelewaaa na mimiEverton ndani ya Tanzania