Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Tuko poa mkuuHabar wakuu mko bombaaa??
Bwana ashukuriwe
Naona unakula tu ban
Tuko poa mkuuHabar wakuu mko bombaaa??
Bwana ashukuriwe
Amen asanteTuwe na Siku njema wakuu
DuhKirar...![]()
![]()
Tatizo zile pressure za pale kwa wahispania ...ila chochote chaweza kutokeaaKubadili matokeo ni muhimu Bayern kambi popote ila game itakuwa ngumu.
asante mama mchungajiAmen asante
Milele aminaaAsante kwa magazeti Lee ubarikiwe
Mothers are everything,Love them

Amazing reactions
Ni kweli mkuu ,mechi itakuwa ngumu hasa kwa upande wa Munich kuruhusu mabao mawili nyumbani ukijua fika unaenda kumalizia kwenye kelele za wale wahispania ni tatizo kubwa sana
Buyern walichoanza nacho sicho walichomaliza nacho ...apa wataraumiana wenyewe kwa wenyewe zile gang press za pale kati tuwaachie mwalimu na mwanafunzi ila kuumbuana tatzo kubwa sana
Javi Matinez ndo hivo tutafanyaje sasa ...
Ronaldo anajaribu kukwepa kuraumiwa yasije kumpata kama ya ndugu yake yule japo yale makeke yake ya kukusanya kijiji tokea pembeni hatuyaooni kaamuaa aanze kuvizia pale katiii![]()
A.vidal na T.aAlcantara walijitahidi sana

Njemq mkuu barikiwaHabar wakuu mko bombaaa??
Bwana ashukuriwe
Hahaha Nyagei!
Salama mkubwamakapukuuu!
za asubuhi jamani,
Njema za leomakapukuuu!
za asubuhi jamani,