Makapuku Forum

Makapuku Forum

08d784a889e1788928634ddd8ee861a2.jpg
 
Kesh Bayern Munich amekalishwa na RONALDO.....Tusubilie kama atayabadilisha matokeo hayo mechi ijayo japo ni ngumu sana!!!!
Ni kweli mkuu ,mechi itakuwa ngumu hasa kwa upande wa Munich kuruhusu mabao mawili nyumbani ukijua fika unaenda kumalizia kwenye kelele za wale wahispania ni tatizo kubwa sana

Buyern walichoanza nacho sicho walichomaliza nacho ...apa wataraumiana wenyewe kwa wenyewe zile gang press za pale kati tuwaachie mwalimu na mwanafunzi ila kuumbuana tatzo kubwa sana

Javi Matinez ndo hivo tutafanyaje sasa ...

Ronaldo anajaribu kukwepa kuraumiwa yasije kumpata kama ya ndugu yake yule japo yale makeke yake ya kukusanya kijiji tokea pembeni hatuyaooni kaamuaa aanze kuvizia pale katiii

A.vidal na T.aAlcantara walijitahidi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom