Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,440
- 11,003
mimi mwenyewe nimeshangaa, barca wamekula misumari miwili hivihivi!Yaan leo nimeamua nianze kushabikia mpira, nikaenda kucheki timu yangu ya toka zaman Barca naona wamepigwa na hamu imeisha.....